Psalms 102:3-5


3 Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi,
mifupa yangu inaungua kama kaa la moto.

4 aMoyo wangu umefifia na kunyauka kama jani,
ninasahau kula chakula changu.

5 bKwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu,
nimebakia ngozi na mifupa.
Copyright information for SwhKC